«Niache»
Brother Naomba niache «Niache»
Niache «Niache»
Brother Naomba niache «Niache»
Niache «Niache»
Brother Naomba niache «Niache»
Niache «Niache»
Aisee Yeah «Niache»
Pisi kali imenielewa ukaniona nimeondoka nayo
Ila hujui kilichotokea brother NIache, «Niache»
Sio lazima usimulie kama uliona inatosha,
Usinichoshe sinto kuchosha brother niache, «Niache»
Sasa ndio unifokee
Kisa umepiga simu alafu sipokei
Au ume umeweka appointment alafu nikadelay
Na nikiwa busy je? niache yangu nifate yako bro «Niache»
Hawajui Nilivyopania kwenye Njia mimi nina Nia
Sasa kwanini wananizuia Alafu waniache «Niache»
Nikiwa race Mtaani, naangaikia msosi mezani
Usiniingile nitakukwaza brother Niache
Haters wanasema ninajidai
Kila ninapotimba pande zao hawafurahi
My feelings na hizi shauzi zipo high
Kwa ninavyowasomba somba wanatamani Mnyamwezi nidie
Nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie
Nidie. wakati ninadai na na nazidi kurolll the dice

Песен-НИКИ

Загрузка...

Другие песни Ebebé Jamal

Все песни →

Похожие песни