
Mmh!!! I feel blessed Blessed I feel blessed… heal Mmh!!! Mmh!!! Anifae kwa hali Hawezi niacha mbali Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Anifae kwa hali Hawezi niacha mbali Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu Ndio maana nipo full Ukinicheki usoni macho tayari ya blue Na mood ipo full kama nimekunywa redbull Mpaka hautofautishi kati ya Ebebé na Abdul Kila siku breaking news Na sijawai kuloose Kwenye list ya do do do and do Kwangu hakunaga upuuzi Wanangu wanapendaga kuniita mzee wa michuzi Junior, beka flavor, DJ mwanga breaking news Nalegezaga fuse Mpaka wanajiconfuse Haunikosi kwenye top 10 kila wanapoperuzi Wanangu wanamizuka huwa nawaita my goons Hauingii kwnye my house party kama suijakuchoose Utaishia mlangoni ndani hatutaki upuuzi Wanangu huwzi wagusa kila mmoja ana maujuzi Wangangu huwezi wagusa wanachezaga kung fu Wanangu ni mbwa mwitu huwa wanabweka woo huu!!! Anifae kwa hali Hawezi niacha mbali Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Anifae kwa hali Hawezi niacha mbali Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Flow kali zinang’ata bila meno Waachie waingie mtaani wanangu mliowafungia cello Mitaa imewamiss wakirudi akili itasettle Tandale, ukonga, keko ngumi mkononi sio beto Pongezi kwa wahitimu ya degree kutoka ghetto Ubaya kwetu mbolea tuchukie tucheze eko Ubaya more fire na tunayajua mateso Bora Tuishi kwa Amani kwani hakuna ajuaye kesho Na usijikute special Kaka futa izo level Weka ubani weka jamvi tukamlani uyo devil Unang’atia magego chawa pro baba level Wanangu hawakai bure wanazisaka izo peso Wanangu wanafuta jasho na mifukoni hawana leso Wanagu sio wanao na huwa hawatembei peku Hatuchezagi rough na umoja ndio ngao yetu Tupe mechi Kitu kimiyani huwa tunacheza eko Anifae kwa hali Hawezi niacha mbali Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Anifae kwa hali Hawezi niacha mbali Kokote niendapo yeye ndio amenipa kibali Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU» Najiona juu «JUU»
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Ebebé Jamal
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,445

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,979

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891


