Champion

Champion

Yeah… ah.
Yeah.
Mongi Records
Yoh.
Nazisaka Pay, Mtu Mzima Bila Mashaka
Pumzi Ndogo Route Ndefu Hizi Mbio Huwezi Kufata
Wanaodelay, Niko Bless Sina Mashaka
Niko Fit Mpaka Noma Soma Somo Elimu Pata
I am Free, Hazinifungi Hizi Sifa za Mpito
Uvumulivu 1st Class na ninahimili Mikito
Nipo Imara, I am From The Ghetto
Imbia Mademu Machizi Watasema
I am Free, Sasa Kwanini nisizisake Na
Nikizishika nitatumia wacha wadate
Nikitaka kuhesabu Nitawaita Waje Washangae Na
Najua Wanatamani Waje Wanivamie
Hawajui Naishi Kwa Timing
Nafanya Niskishituka Naghaili Na
Najua Maisha Mzunguko Wa Tairi Na
Sumni Hawaipati Wacha Waniite Bahiri

Песен-НИКИ

Загрузка...

Другие песни Ebebé Jamal

Все песни →

Похожие песни