
Eti Siku hizi nangangana Ukiniona unaficama Jina langu likitajwa unashtuka Presha inapanda unaanguka Una anguka wazimia Mtaani wanashangiliya Wengi wao uliwaoneya Na maisha yao kuwa haribia Nilimuomba mungu mi hekima Akanijalia akaniazima Sasa nina deal na watu wazima Don’t Panic pindi unapo niona Nipe wire wire Nipe wire wire Niseme nao nao Ni deal nao (x2) Ni Satura Mbona Niko Bien Maisha mafupi Aca niwe bien Le Marechal Mbona niko bien Oui le King Mbona niko bien Hook Kale katoto ka jana Kale katoto ka juzi Kanajifanya kamekuwa Hakana adabu Hakana heshima (x2) Ukinita mbwa Ukinita Dogo Ukinita Doggy Yote pOa tu Hayo ni maneno Nyuma hayanirudishi Kama unavo juwa Kwanza haunilishi Baba badi eeh Baba badi eeh Wambiye wadau wangu wasitishike WaSiridhike washughulike wazitafute Wajilinde Na ma dharau Kamwambiye mama kama bado Mapambana bado najituma Japo wana bana Ukiwaona masela wangu waku bata Uwambiye Asalam Alykum Maisha mserereko Juzi alipata yul Jana nikapata mimi Kesho itakuwa wewe Don’t worry Nipe wire wire Nipe wire wire Niseme nao nao Ni deal nao (x2) Ni Satura Mbona Niko Bien Maisha mafupi Aca niwe bien Le Marechal Mbona niko bien Oui le King Mbona niko bien Hook Kale katoto ka jana Kale katoto ka juzi Kanajifanya kamekuwa Hakana adabu Hakana heshima (x2)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Sat-B
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
