Am lost without you Jesus
Umealikwa moyoni kwangu umealikwa
Umealikwa moyoni mwangu umealikwa
Umealikwa Jehovah shammah umealikwa
Umealikwa Jehovah Jireh umealikwa
Mesiyaaaa
Umealikwa tembea nami mkononi Bwana
Umealikwa karibu ndani ya siku zangu Bwana
Zifanye siku zangu kuwa mkali kama miale ya jua
Aaa njoo hima, ondoa mashaka na hofu Bwana yeah
Umealikwa moyoni kwangu umealikwa
Umealikwa moyoni mwangu umealikwa
Umealikwa Jehovah shammah umealikwa
Umealikwa Jehovah Jireh umealikwa
Mesiyaaaa
Umealikwa mikono nimeinua nime surrender Bwana
Moyoni mwangu ingia ndani kaa nami Bwana hohoooo
Jesus I love you oh oh oh
I am thirsty for you oh oh oh
I can’t live without you oh oh oh
I am nothing without you
Oh oh oh oh oh Jesus
My soul says yes

Песен-НИКИ

Загрузка...

Другие песни Petronilla Ayuma

Все песни →

Похожие песни