
Uliyalea maisha yangu Upendo wako kwangu ulikuwa mkuu Milele daima ulikuwa kwangu Hata kama uliondoka haraka Mkono wako ulinifuta machozi Mdomo wako uliniimbia wimbo Ulinituliza kifuani Pako Nikalala mikononi mwako… Malkia wangu dunia yote hakuna kwewe (*4) Mbingu zilipo nigeukia kijivu (When the sky turned grey) Wakati mwingi nilikuwa taabani (Most of the time i was in trouble) Ulikuwapo daima kunifariji mimi mama… (You was there always to comfort me) Ulinifunza like kitu nikajua (You taught me everything i know) Nami nikaweka salama ndani yangu (And i kept it safe in me) Upendo wako kwangu ulikuwa kama miyale ya nyota… (Your love to me was like the rays of a star) Kuniangazia dunia yangu vikali… mama. (To shine bright on my world) Asante malkia wangu Africa nzima… (Thankyou my African queen of Africa) Malkia wangu dunia yote Hakuna kama wewe (*4) Nimetafuta kila mahali nimetafuta dunia yote (I have searched everywhere, I have searched the whole world) Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe… Kwenye vikundi vya wa mama, sijaona wakulinganishwa. Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe… Mwenye mausia bora, mwenye uelekezi bora. Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe… Mwenye ushawishi bora, Mwenye mwenye uongozi bora. Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe… Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe…(*4)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Petronilla Ayuma
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
