
Umepoteza usikivuu haunisikizi tenaa Nani kakuaribu mbona gafla kulizanaa Wanuna bila sababu waniona me mtwanaa Ukiwa nami wajifanya bubu kutesanaa Mapenzi hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mazao yameungua My baby, hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mmazao yameungua Heri imogizani (nitabaki kongoro) Sioni sababu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro) Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo uniuliziee Eeeheeh, looohoh, eeeh… Upendo wa dhati unaning’inia Afueni sipati ninaishilia Weka hisabati na kukotoa Ila jibu sipati nandomepotea Japo nafsi inapinga ngumu yako kaulii Sikubali kushindwa ndani nyingi dosari Kila siku kunipa kuniona fedhuli mimi Fedhuli mimi, mapenzi Mapenzi hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mazao yameungua My baby, hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mmazao yameungua Heri imogizani (nitabaki kongoro) Sioni sababu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro) Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo uniuliziee Eeeheeh, noooo, eeeh…
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Nandy
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,445

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,979

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
