
Kuna maneno ya kusikia sikupendi utaambiwa Sio ishu ni hatari usije ukayasikia Mwenyewe umenisifia mwendo wangu wa ngamia Taratibu bwana darling usije ukayasikia Usije niacha wakati nakupenda sana Eeh bwana we me nitapagawa Mambo madogo kelele za kusemezana Nielewe Mambo weka sawa Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo Kama ulaya wanavyofanyagaa utanipa donda hapo hapo Nikianzishe kilio wo wo wo baba ubaya Usije ni bwagaa nakupenda Bado Nakupenda baba Bado Laazizi Bado Usininyime utamu Bado Nakupenda Bado Nakupenda bwana Bado Ooh wangu Mimi Bado Yeah yeah yeah Bado Mh Hutumii vumio bwana samaki sio supu ya nyanya Mambo ng’ari ng’ari habari zinapatikana Na maneno Ndo mengi sana usishike moja tazama Nipe vya asali kachumbari pilipili Kwa sana Usije niacha wakati nakupenda sana Eeh bwana we mi nitapagawa Mambo madogo kelele za kusemezana Nielewe Mambo weka sawa Usije niacha mwenzako nitamisi matukio wo wo wo kama ulaya Wanavyofanyaga utanipa donda Kwa hapa nikianza shikilia wo wo wo Baba ubaya Usije ni bwaga nakupendaa Bado Nakupenda bwana Bado Laazizi Bado Usininyime utamu Bado Nakupenda Bado Nakupenda bwana Bado Ooh wangu mimi Bado Yeah yeah yeah Hutumii vumio bwana Samaki sio supu ya nyanya Mambo ng’ari ng’ari Habari zinapatikana The African princess
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Nandy
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,445

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,979

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
