
Pasha maji weka moto' tandika jamvi naja nyumbani Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo' futa la nazi ujipare, honey Na vijisabuni vya magadi' Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake Muunge tu' nipe na chuzi na nyama yake Eh' Kula ya mbuzi ni kamba yake (Oh oo…) Ye king’amuzi mi dishi lake Hook: Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!) Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!) Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!) Kama afisa wa NIDA Ooh.ohho… Hook: Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!) Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!) Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!) Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!) Tamba… Tamba… Nakupa uwanja tamba Tamba… Tamba… Warushe warushike roho zao Tamba… Tamba… Wasokujua wakujue leo Tamba… Tamba… Tamba mama lao… Nitalinda benki kwa rungu' niaminie Taka langu Mwana mvungu' nainama mie Wavunje nazi na nyungu' wajifushie Oh my wangu atulinde atulinde Mungu' yasitufikie Nilishakumbwa na tsunami' la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa Penzi si la unyang’anyi' peke yangu najilia na shiba na kusaza Naka T. V kangu kana waka kuzima' Nikupe Naka simu kangu japo cha mchina' Nikupe Shika na moyo wangu nenda nao mazima' Nikupe Tuzaliwe Makkah tufie Madinah' Nikupe Hook: Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!) Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!) Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!) Kama afisa wa NIDA Ooh… ohho… Hook: Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!) Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!) Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!) Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!) Tamba… Tamba… Nakupa uwanja tamba Tamba… Tamba… Warushe warushike roho zao Tamba… Tamba… Wasokujua wakujue leo Tamba… Tamba… Tamba mama lao… Wasafi… Hook: Nishalinoa panga' porini kukata mua Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua Nishalinoa panga' porini kukata mua Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua Uu yeah yeah… Uu yeah yeah yeah… Nishalinoa panga' porini kukata mua Nishalinoa panga' porini kukata mua* Aiyo aiyo aiyo yo aiyo… La la la, la la la, la la la… La la la, la la la, la la la… Aiyo, Laizer
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Mbosso
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891


