
Natoka zangu kwetu Kibiti Naisaka Dar es Salaam Naenda tafuta riziki Niwatunze Baba na Mama Nikizunga haba na haba Ndio kilo inatosha Chunga miguu kuvaa Rubber bana Zisizo kutosha Anayesema riziki mafungu saba Anakupotosha Riziki mafungu mawili Kupata au kukosa Aliyoyasema baba Heshima ya nyumba si dirisha Dunia ni saa mbovu mwana Usije ifwatisha Vingine vinakaba Lazima unywe maji kupitisha Umia upate kovu baba Maumivu yatakwisha Hata mate kinywani ya uchungu Nayameza kwa tabu jama Maisha yangu mazingaombwe Ya maajabu sana Oooh mama Oooh Eeeeh mama eeeh Ooooh Shida Ooooh Shida Ooooh Shida Ooooh Shida Shida zitakwisha lini Ooooh Shida Ooooh Shida Ooooh Shida Ooooh Shida Shida zitakwisha lini Najipa matumaini Nitafute nisichoke Moyoni nikiamini kuwa Mungu ni wetu sote Ila Mbona kwangu sasambu sasambu Sipati usiku si mchana Ama kitabu cha riziki yangu Tayari kimechanwa Eeeeh eh Eeeeh Baba Mama chama na mogela Yani mimi ndio nategemewa Nakaza nashinda kombolela Likipigwa nabutua hewa Hata mate kinywani ya uchungu Nayameza kwa tabu jama Maisha yangu mazingaombwe Ya maajabu sana Oooh mama Oooh (Oooh) Eeeeh mama eeeh (Oh Oooh) Ooooh Shida (Ooooh Shida) Ooooh Shida (Ooooh) Ooooh Shida Shida zitakwisha lini (Mama mama eeh) Ooooh Shida (Mama mama eeh) Ooooh Shida (Mama mama aaah) Ooooh Shida (Ooooh) Shida zitakwisha lini
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Mbosso
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891


