
Imagine tayari nilikuwa nishasahau Kwamba leo ni siku ya kusherehekea Nivenye nimewa busy nikihustle dooh Na picha yako sitaiweka kwa mitandao Na usidhani kwamba sikuwa nacare Nivenye safcom nina deni ya soo Hook Ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari Nikupe wee my dear Nikupeleke uingereza Ukaone umaridadii Wa dunia Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia Happy birthday jibambee Happy birthday… eeeeeeh. uoooooh x2 Nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja Ndo ujionee wajukuu wako pamoja ma vitukuuu Uwaeleze tulivyosaidiana, kama masoldier Na kutoana machozi kavitunguuu vitunguuu Hook Ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari Nikupe wee my dear Nikupeleke uingereza Ukaone umaridadii Wa dunia Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia Happy birthday jibambee Happy birthday… eeeeeeh. uoooooh x2
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Leteipa the king
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891



