
Ni vampK 254. Mhhhhh Kukutazama, Ukitabasamu Nikama kuwatch movie za afro, siwezi boeka We ndo kitabu, Mi ndo kalamu Niliumbwa kwa ajili yako, Kama masai na Rubeka Ninatamani ningewa yako mavazi Nikusitiri nikuguse Kila wakati Ungewa stew ama kasupu ka mbaazi Ningewa sembe Mokimo ama chapati Hook Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Kamba za viatu babe, mi nikufungie (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba, utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba, Utapona nna tiba mamaa Nakama ungewa, mwanasiasa, ninge piga kampeni zako Nikusifie, kwa giza na mwangaza, mpaka kwa maadui zako Nitakubusu bila woga hadharani Ili wajue wewe ndo wangu mwandani Ungewa kijiko lazma ningewa sahani Kututenganisha Hilo haliwezekani Hook Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Na ukichoka, nikubebe, wivu wasikie (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba, utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba, Utapona nna tiba mamaa
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Leteipa the king
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891



