
Ya ramadan Ya ramadan Ya ramadan Ya ramadan Ya ramadan mwezi ulio mwema Ya ramadan huja kwa watu wema Ya ramadan tujitahid tenda mema Ya ramadan tuzivune neema Ya ramadan Ya ramadan Ya ramadan Ya ramadan Ndugu zangu katika imani Imekuwa bahati kubwa sana kwetu Kwa kuona tena mwezi mtukufu wa ramadan Ni mwezi unakuja mara moja kwa mwaka Ni mwezi uliojaliwa nyingi neema Basi tuitumie ipasavyo nafasi hii Nafasi itakayotufanya kuwa bora siku ya malipo nafasi itakayo Tusogeza mbele milango ya pepo maana halisi ya kuja mwezi mtukufu wa Ramadan ni lengo moja tu kutufanya tuwe wacha mungu tuutumie vyema Mwezi huu ili uwe wenye kuleta mabadiliko makubwa katika Nafsi zetu ziwe zenye kumpendeza mwenyezi mungu ramadan mubaraka Tujiunge waumini mwazini akiadhini Tuende misikitini ayaaaa Tuwalishe masikini Wagonjwa mahospitalini Ndo inavyosema dini Na tuziswali swala tano Swala tu swalaa Na tuziswali swala tano Swalaa tu swalaaa tuziswali tano
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Lava Lava
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





