
Una rangi ya chotara manga manga asili ya kizanzibari Chocolate color mixer mtanga tanga unang’ara ng’aring’ari Ngozi laini kachori sambusa bagia Upo kama mdoli yaani kama wabandia eeeeh eeh eeeh Ukitembea koko (Koko) uko nyuma baikoko (Koko) mzigo sio wa buku jero Sotojo la bokoboko (Koko) laini Nyanya ya kopo (Kopo) yaani bunyero bunyero Eeeh eeh achana na kina Gigi hawana lolote Watazusha nawajigjig penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi Habibi Nurul’ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh ooh Habibi Nurul’ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh ooh Mmh penzi lisiwe dibaji zidisha utamu tende Mahaba yawe full chaji tukomeshe fisadi viwembe Nikandekande massage wabaki kupiga vijembe Weka hiriki magadi ongeza na peremende Ah haaa mchunge shetwani mama twende pole pole Ah haaa kuna Esma Khan na kina Juma Lokole Ah haaa wasikupande kichwani wakazua mambo uchocholee Ah haaa iwe aibu mtaani insta michambo wanichore Achana na kina Gigi hawana lolote Watazusha nawajigjig penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi Habibi Nurul’ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh ooh Habibi Nurul’ayn kipenda roho Habibi nyonga mkalia ini uh ooh Usije kughaili ghaili, mi mwingine sina Usije kughaili ghaili, penzi likachina Usije kughaili ghaili, ukanitosa mazima Usije kughaili ghaili, nuru ikazima
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Lava Lava
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





