Rumba Ya Sasa

Rumba Ya Sasa

Shwaa!
Eh Rumba matata
Muziki ya wazee na vijana
Kama inakubamba
Kanyaga dance floor!
Nishike mkono
Mshike kiuno
Pande kwa Pande
Yeye ni wako
Nishike mkono
Mshike kiuno
Pande kwa Pande
Yeye ni wako
Ni siku nyingi sija kuonyesha good time yeah
Nakushukuru kunilelea watoto yeah
Weka marashi, vaa rinda lako nzuri yeah
Nishike mkono
Ni mimi nawe leo
Tabasamu ni kukumbushe siku zetu yeah
Nishike mkono utulize roho yako yeah yeah!
Nishike mkono
Mshike kiuno
Pande kwa Pande
Yeye ni wako
Nishike mkono
Mshike kiuno
Pande kwa Pande
Yeye ni wako

Песен-НИКИ

Загрузка...

Другие песни Jabali Afrika

Все песни →

Похожие песни