
Walimwengu wana mambo Kunao wa kujenga Wakubomoa hawakosi Wasiopenda maendeleo Desturi su su su su Mwenzako kakosa nini Na mbona kumchimba Mwenzako kafanya nini Na mbona kujipima Kusema watasema (watasema yee) Mwisho watachoka (watalala) Misemo haiui (eyeyeye) Ni baraka (aaaah) Kusema watasema (watasema yee) Mwisho watachoka (watalala) Misemo haiui (eyeyeye) Ni baraka (aaaah) Jirani kanunua gari Na wewe kanunua Mashindani ni ya nini Shughulika na yako Baraka tofauti Haziwezi kufanana Sisi zote tofauti Muumba katuumba Hatuwezi kufanana Kusema watasema (watasema yee) Mwisho watachoka (watalala) Misemo haiui (eyeyeye) Ni baraka (aaaah) Kusema watasema (watasema yee) Mwisho watachoka (watalala) Misemo haiui (eyeyeye) Ni baraka (aaaah) Kusema watasema (watasema yee) Mwisho watachoka (watalala) Misemo haiui (eyeyeye) Ni baraka (aaaah) Kusema watasema (watasema yee) Mwisho watachoka (watalala) Misemo haiui (eyeyeye) Ni baraka (aaaah) Kusema watasema (watasema yee) Mwisho watachoka (watalala) Misemo haiui (eyeyeye) Ni baraka (aaaah)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Jabali Afrika
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,453

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,984

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,910

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,442

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,312

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,895

