
Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi Mtoto wa jangwani timu ya wananchi Yaani kati kati ya jiji la Dar Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa Makombe ya kabatini Hawawezi kufika Mpira unapigwa chini magoli uhakika Yaani dakika tisini tumesha watundika Wanaona donge hao wanyonge (Wanaona donge hao wanyonge) Yanga tunaposhinda wanaona donge (Wanaona donge hao wanyonge) Wanaona donge hao wanyonge (Wanaona donge hao wanyonge) Yanga tunaposhinda wanaona donge (Wanaona donge hao wanyonge) Engineer naomba nikutume Unifikishie salamu Kwa Dr Msolo na Antonio Lugazi Ah waambie majirani Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Kabisa! Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Tupeleke GSM Watoto wa GSM Wanangu wa jangwani Pale pale wanachechemea (Yanga tunatembea) Wahuni wanachechemea (Yanga tunatembea) Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea) Aaah anachechemea (Yanga tunatembea) Wamechoka wanachechemea (Yanga tunatembea) Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea) Yanga kindakindaki wapige waniue Naipenda Yanga kindakindaki wapige waniue Eeeh mimi shabiki kindakindaki wapige waniue Yanga kufa kupona wapige waniue Eeh basi kama unaipenda Yanga piga makofi We wote tena twende, piga makofi Kama unaipenda Yanga piga makofi Ongeza ongeza tena, piga makofi Aya pasha pasha wahuni pasha Twende pasha pasha wahuni pasha Aya pasha pasha danga pasha Nasema piga makofi piga makofi Piga makofi piga makofi Piga makofi piga makofi Piga makofi piga makofi Kama wewe ni shabiki kweli Onesha jezi nikuone Uzi mweupe wa GSM Wewe onesha jezi nikuone Kama kweli shabiki damu Vua jezi nikuone We kama kweli shabiki damu Lala chini tukuone Asa Yanga daima mbele, mbele kwa mbele Wakishindana na sisi watachuna tembele Twende mbele kwa mbele, Yanga daima mbele Wakishindana na sisi watachuna tembele Yanga daima mbele, mbele kwa mbele Wakishindana na sisi watachuna tembele Yanga daima mbele, mbele kwa mbele Wakishindana na sisi watachuna tembele Watoto wa jangwani Waambie majirani zetu wamechokoza nyuki Tunawapumulia golini kwao hatubanduki Anayezungumza hapa ni Konde Boy mjeshi Twende sasa!
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Harmonize
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

