
…Afraid to tell him how she feels She silently whispers to herself .Afraid holding her breath… maybe he might hear her. see he doesen’t feel the same way maybe … H_ART THE BAND… LADY JAYDEE. Nikaja kupenda na moyo wangu wote binti huyu aliyefanya nimuote usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa sionekani popote Nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke … Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza kamba nikakaza Lakini huonekani mpaka sasa (x2) Rosella (ninajiuliza) Rosella (je umebadilika) Rosella (nashindwa kuamua… aaaa) Ni kweli niliamua kuondoka nikidhani nitapendwa niendapo hakunaaa Oooh nilidhani nitakuta tofauti hiyo yote mpaka sasa sijaaaonaa… Moyo waniuma… nikikumbukaaa… mambo mengi wewe ulikosea. Najiuliza je ni kweli umebadilika ama maumivu ninayarudia masikini nashindwa amua… oooh nashindwaaaaa… Rosella (ninajiuliza) Rosella (je umebadilika) Rosella (nashindwa kuamua… aaaa) Yaaniii… imekua siku nyingi sana hatujazungumza SMS zangu hurudishi Please call me zangu hunijibu simu zangu hushiki Na najua haiwezi kua ni simu ulipoteza Juu social media nmeona selfie zako na ile top flani kali nlikubuyia ya dashiki Ukweli nikukumiss nmekumiss tena sana na najua umenimiss unanilenga tu juu tulikosana Ego yako ilkua juu ulikua dem wa maringo lakini siteti nlikupenda tu hivo hivo Yaani tangu utoke stress iko juu tu sana sura imejaza tu ma-wrinkles. kila time najipata nimekasirikia tu vitu simple simple Ata jokes na ma people nacatch wao wakishow tu ma dimples Walisema kosa si kosa. kosa ni kurudia kosa na unajua ulikosa lakini huwezi kubali ulikosea nshakuzoea ni sawa tuu nishakusamehea una act selfish but kuishi bila wewe machozi. mi siwezi yaani kukula kwa hoteli si wajua mi ni mlazy Malkia smile tamu cresent shape ya mwezi sipendi tukikosana napenda tukichora saba kwa saba love heart wajua nakupenda tu sana pamoja tembea… Dar .Arusha.tunajirusharusha. spending karibu Dolce. Gabbana mwanaume si unajua ni kujikaza spaghetti. crop… 9 months later baby shower na pamper love imeshika rada first born anakaribisha brother Twende nyumbani nikuintroduce kwa matha… Ras ashapata patner… (ruudi nyumbanii) Rosella (ninajiuliza) Rosella (je umebadilika) Rosella (nashindwa kuamua… aaaa)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни H_art The Band
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

