
Kusema kweli bado nakuhata And on the daily, bado nakufuata Kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda Vipi nikatupa ndoto tulizoziota Uliniwasha nare Enzi zetu za kupare Kwa mvinyo na makali Magizani hadi ngware Nikijifanya dakitare Wa mabinti wale Wenye shepu za hatari Nikapotelea ndani Ila mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Tabasamu la kishua Roho sawa na maua I can’t help miss you every morning Vile unapendeza Kama ningewezajua Yepi ya kutarajia Nisingejipata mashakani Kwa niliyoyatenda Ninayempenda ni wewe Hakuna mwingine wa Kubadili penzi Ningependa tuelewane Kiburi kisinikosanishe nawe Uliniwasha bare Na sikushika nare Ukanisema kwa jirani Kwamba mimi kisirani Aibu za hadharani Vile penzi hatari Njoo unipe amani Kama hapo zamani Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни H_art The Band
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

