
Mi na ndugu zangu Ndani ya gari yangu Mamanzi hamsini, tutafika lini? Guaranteed, leo tunawaingia kusini Chini kwa chini, juu kwa juu Side to side till I see what’s inside Girl, it’s no lie, the way you shake your behind I’m about to lose my mind Pick up the remote and rewind To my car, please jump inside Call my friends, I’ll show you where we can hide In the midst of the Pirates You can have anything you want (Saree) You got it from the back to the front (Saree) Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree) Manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree) Kagomba leo lazima kanase (Si usaree) Kachongwe (Si usaree) Kabambe (Si usaree) Ikishabamba lazima katemwe (Si usaree) Kisha lale lazima pakatwe (Si usaree) Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree) Apandwe (Si usaree) Ahanywe (Si usaree) Si usaree Kijana amewaangushia tracks kadhaa za kuwasaidia ku-party ni nani? Hajui rap bila E-Sir ni kama sigara bila nare, basi Nifungulie njia nipate kutiririka kama beer ya Pilsner nipe futi sita nipate kuwaburudisha Hii ni ya kila mdhii amekuwa akingojea flow ya Kiswahili Kila mnati tayari kuamka na ku-bounce kidhati Kuingia floor katikati, kugonga wadhii bila kuwaambia samahani «A-la! Waleta balaa I thought you’re my guy, kumbe you’re just another fala» Vipi rafiki? Stahili lakini Mabeshte ninaotembea, nao wamechizi Wala samaki na ndizi baada ya tizi Nipe wakati kidogo na utawaona kwa TV Internet sites all over the PC Waki-hang na mamanzi Ijapokuwa wanati wame-dress ka ma-barbie Vinywaji ni barley Si usaree Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree) Manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree) Kagomba leo lazima kanase (Si usaree) Kachongwe (Si usaree) Kabambe (Si usaree) Ikishabamba lazima katemwe (Si usaree) Kisha lale lazima pakatwe (Si usaree) Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree) Apandwe (Si usaree) Ahanywe (Si usaree) Ili ngoma yangu isibambe Nakuomba lyrics zangu usichanganye Nakuomba hio mic usinipe Unless unataka crowd iwike (Si usaree) Shika dada karibu na wewe Chini kwa chini, bila wasiwasi Usimwachilie mpaka ikate Nitahakikisha anawika Ili ngoma yangu isibambe Nakuomba lyrics zangu usichanganye Nakuomba hio mic usinipe Unless unataka crowd iwike (Si usaree) Shika dada karibu na wewe Chini kwa chini, bila wasiwasi Usimwachilie mpaka ikate Nitahakikisha anawika Niaje? Bora kuwa moyo wangu wadunda Lazima Kenya nzima ijulikane, zamani (Zamani) Nilikuwa nikilipa ma-three South C lakini siku hizi ni mambo nasaree (Eh!) Nakwambia inabidi, nani amesema kuwa mnati ni easy? Kila mtu yapenda vila naangusha Kiswahili ki-sure, ndio sababu wajua E to the sizzle ni matatizo Yaangusha rhymes kwa maathiro Kama ni chorus wataka, basi ndio hio (Hio, hio, hio) Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree) Manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree) Kagomba leo lazima kanase (Si usaree) Kachongwe (Si usaree) Kabambe (Si usaree) Ikishabamba lazima katemwe (Si usaree) Kisha lale lazima pakatwe (Si usaree) Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree) Apandwe (Si usaree) Ahanywe Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree) Manze, kitu lazima ahanywe…
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни E-sir
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
