
Ogopa Police Station presents Inspector E-Sir and Lenny Uh, tumekuja kuwashika! Tumekuja kuwashika! Hallo, mko wapi wadada? Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) Nipe mic, maji na mafuta Kibiriti, nipate kuwachemsha Speaker mbili, tupate kuwaamsha Ili na mic tupate kuwachoma Kisha wapate kucheza hizo ngoma Kwa sababu kila mtu anajua hakuna traki Ambayo inagonga kama traki ya Ogopa (Boom-ba, boom-ba, boom-ba) Basi weka mkono kwenye kiuno Na usawanishe sawa na mdundo Peleka nyuma, rudisha mbele Sote tupige makelele Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata Tunaposhika mic twasema tena tuna flow Pamoja basi sasa tunacheza hizo songs Wajameni kujeni mskie hii flow Basi weka mkono kwenye kiuno Na usawanishe sawa na mdundo Peleka nyuma, rudisha mbele Sote tupige makelele Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? Tulienda mbali Tukarudi tena Na tuliporudi wanawika (Hakuna show ka Ogopa show) Tulienda mbali Tukarudi tena Na tuliporudi wanawika (Hakuna show ka Ogopa show) Huu mwaka Ka moto, tutawaka Na wote walioongea taka taka Bila shaka, wata (Shh!) Huu mwaka Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни E-sir
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
