
Eti nikuombee mema Na baraka uzidi fanikiwa Siwezi kamwe wala Ni sawa na kuiforce sinema Kuitazama na haijanivutia Lazima tu ntalala Na kwa barabara ukipita Nenda kulia ukiniona kushoto Sitaki hata tuonane Usije wala ukaniita Donda vilia utanchochea tu moto Nisije nkutukane Kinachoniumiza nafsi Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha Mwenzangu nje unayatoa Wewe cement mimi mchanga Nkasema penzi tujenge lisije loa Najitia mkandarasi naezeka mabati Wewe chini kenchi unabomoa Niache Niache Niache, oh niache Niache Nipambane na moyo wangu Niache (niaaa…) Niache (moyo wangu una hasira) Niache, oh niache Niache Najitahidi nisilale kwenye kitanda Huenda ntapunguza ndoto zako Mwilini nina machale utadhani mwanga Yote kuusahau uwepo wako Laiti kama ningekuwa gari Ningekugonga barabarani Ama nyuki mtoa asali Nkung’ate sura wasiitamani Hivi wewe ungo ulivunja mwali Ama ulivunja sahani Kuniundia mateam kwa mitandao Vijembe vya kazi gani Kinachoniumiza nafsi Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha Mwenzangu nje unayatoa Wewe cement mimi mchanga Nkasema penzi tujenge lisije loa Najitia mkandarasi naezeka mabati Wewe chini kenchi unabomoa Niache, oh niachee Niache (mimi moyo wangu una hasira) Niache (tena ukae mbali) Niache (oooh niachee) Niache (usiwapigie rafiki zangu) Niache (usithubutu hata simu yangu) Niache (chonde tafadhali) Niache (niaaa…) (Iyoo lizer) Ntakudanganya kwa tabasamu Ntakudangany kwa kucheka Ntakudanganya hata kwa salamu Ila moyoni nakuchukia Nitakudanganya kukufollow Nitakudanganya kucomment Nitakudangaya kulike picha Ila siwezi kukuzimia
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





