
We niache niende niende, niende niende Niache niende niende, niende niende Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Na nina mengi, ah yamenikaa moyoni Leo nataka kulewa, lewa Mi nataka kulewa, lewa Nataka kulewa, lewa Zikipanda nimwage radhi Nataka kulewa, lewa Mi nataka kulewa, lewa Nataka kulewa, lewa Zikipanda nimwage radhi We niache niende niende, niende niende Niache niende niende, niende niende Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa Kukata vilimi-limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda Kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu najisumbua Si tuko kama ishirini, mabuzi ving’asti wengine anawahonga Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Na nina mengi, ah yamenijaa moyoni Leo nataka kulewa, lewa Mi nataka kulewa, lewa Nataka kulewa, lewa Zikipanda nimwage radhi Nataka kulewa, lewa Mi nataka kulewa, lewa Nataka kulewa, lewa Zikipanda nimwage radhi We niache niende niende, (kulewa, kulewaa) niende niende Niache niende niende, (kulewa, kulewaa) niende niende (Kulewa, kulewaa) (Kulewa, kulewaa) (Kulewa, kulewaa)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





