
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo (Vearse one) Sikujua mapenzi balaa tena ni maladhi ya moyo kupendaga… Tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava… Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijua! Licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua Utu wangu unathamani inamaana kweli havijuaa! Mmmh! Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (Inauma sana) (Chorous) Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo. (rudia kuimba mara mbili) Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu… Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu Kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa Kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia! Lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kwangu Ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo wangu
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





