
Ah! Usinione nalia Moyoni naumia Kila siku maugomvi, unanukia mabia Ina maana unataka usema Huu moyo wangu hatambui Thamani ya mapenzi Ndo imegeuka kuwa uadui Nikakuimbia nyimbo bado Nkakupa moyo bado Nikakupa life, na true love Ila baby bado Nikakuimbia nyimbo bado Nkakupa moyo bado Nikakupa life, na true love Ila baby bado Ukose raha Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Nishachoshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Mara leo limekwisha hili Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine Choshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Leo limekwisha hili, kesho lingine eh! You just don’t know Naumia umia umia umia umia Eeeh ah! You don’t know Naumia umia umia umia umia Hiiiii… Ukose raha Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





