
Hhhmm Kama Unanipenda sana Umaarufu weka Mbali Na ile nyumba ni ya mama Hivyo usiwaze Madale Isiwe kesho madrama Napigiwa simu na Tale Hadi Insta natukanwa Umeshaanzisha kwale Moyo wangu Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nayempenda akinidharau Moyo wangu Hodari wa kugawa wa kunipa sina Moyo wangu Ndio maana nasisitiza usije na wewe Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila mama Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila mama Hhhmm Muziki vita Hawataki niendelee Hivyo ukipata nafasi Tafadhali niombee Na nyumbani visa Ndugu zangu wazoee Itaniumiza nafsi Ikifikia musiongee Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao Tahadhari sana Si unajua wanamuziki vitabia vyao Wamejawa tamaa Oh na! na dada zangu mawifi Chunga nyendo zao Usipelekwe mlama Wakikwambia kaniki mara chota nyayo Jua mumewe nakwama Aaah Ah! Utamu wa Big g Ni kutafuna Usimeze uroda Ongeza tu bidii kunikuna Sio kuniroga Kunikomba zaidi Pika nguna nitaleta mboga Unipe na kabibi kwetu suna Nishushie na soda Moyo wangu Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nayempenda akinidharau Moyo wangu Hodari wa kugawa wa kunipa sina Moyo wangu Ndio maana nasisitiza usije na wewe Baila Baila Baila (Oh Bailando Oh!) Baila Baila Baila (Baila Kipenzi) Baila Baila Baila (Eeh eeeeh) Baila mama (Bailando Oh!) Baila Baila Baila (Baila kidogo) Baila Baila Baila (Baila nione) Baila Baila Baila (Eeh eeeeh) Baila mama (Bailando Oh!) Hhhmm Usiseme u love me Then you lying Usiseme u love me Then you lying (aaaah!) Usiseme u love me Then you lying Hhhhmm Usiseme u love me Then you lying aaaa (aaaah!) Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila Baila mama Baila Baila Baila (Oh Baila) Baila Baila Baila (Baila Kipenzi) Baila Baila Baila Baila mama Heheheh Obrigado
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891


