
Le ngree ma Took over town Lamar It’s a Fishcrub presentation Diamond It’s the Fishcrub Ladies and gentlemen Wasafi Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama Ah ah ah! Upole wangu simanzi eh Kwangu kupenda maradhi ii Lakini kupendwaga mi naye Bahati nuaga sina Jichoni kwangu kibanzi eh Tena napenda kamanzi ii Licha ya kumthamini kama shillungi Tatizo hata raha sina Ufinyu wa mboni zangu (ni zangu) Unatazama mengi yanayonipa mateso Tena hata kupenda sina raha Na nakonda kwa mawazo Masikini penzi langu Gina Nilishakata na kaulia roho inatoka kesho Kutwa nzima mara eh Mara ii hata najuta kupenda aah Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama Mmmh tena! Mmmh kutwa kucha mara oh Huwezi kosa maneno oh Ili mradi tu 'tara tantalila' Mmmh sina raha Wala sina tena mi pango Kutwa nzima na mawazo Gina Mmmh aaah! Sina raha oh mama Tamu ya wali ni nazi eh Raha ya supu ma ndanzi ii Raha yangu ni kupendwa tu naye Lakini nyota sina Na napata na radhi eh Nawa kufuru wazazi ii Kwa kung’ang’ana mi kutata kuwa naye Lakini bahati sina Masikini roho yangu (roho yangu) Ingalikuwa ni ngu ningempa ava eh Japo akipita wamsifie Ila lakini ni kikwazo Masikini penzi langu Gina Nilishakata na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara eh Mara ii hata najuta kupenda aah Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eeh Moyo wangu mi mi Umeniponza mama
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891



