
Yaananza kama safari Twende fulani ukaone Kumbe yana nguvu ni hatari Ukishanasa ndio uponi eeh Yaananza kama safari Twende fulani ukaone Kumbe yana nguvu ni hatari Ukishanasa ndio uponi eeh Mungu aliumba dunia na maajabu yake Ya mwenzako sikia omba yasikupate Eiih! Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh Ya mwenzako sikia ila yasikupate Kizaizai Nyie mapenzi yanauma Kizaizai Yanaumiza Oh kizunguzungu Kizaizai Jama mapenzi mabaya Kizaizai Waweza gombana na ndugu Kizaizai Rafiki akawa mbaya Kizaizai Kazi ukaona chugu Nyie mapenzi karaha Eh! Sumere wa Grante grante Mmmh! Yanayima furaha Yanakosasha raha Yanayima furaha Yanakosasha raha Tena usiombe kupenda Ulie mpenda ajue Tena usiombe kupende Ulie mpenda ajue Amani utakosa, karaha jamani Dunia chungu kufa utatamani Eiih! Mungu aliumba dunia na maajabu yake Ya mwenzako sikia omba yasikupate Eiih! Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh Ya mwenzako sikia ila yasikupate Kizaizai Nyie mapenzi yanauma Kizaizai Yanaumiza Oh kizunguzungu Kizaizai Jama mapenzi mabaya Kizaizai Waweza gombana na ndugu Kizaizai Rafiki akawa mbaya Kizaizai Kazi ukaona chugu Nyie mapenzi karaha Kizaizai Baba na mama watake Kizaizai Chakula tamuni sumu Kizaizai Mashoga sasa wanafiki Kizaizai Kulala nanyi ni ngumu Kizaizai Eiih! Yanauma Kizazai Tena yanauma sana Kizaizai Yanauma Kizaizai Tena yanauma sana Kizaizai Ooh yanauma sana Ayo! Haa! And this is hit from Tanzania Diamond Platnumz baby In See Records Holla Wewe Kizaizai
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





