
Mmmmh! Mh! Lala Lala Lala Mmmmh! Mh! Lala Lala Lala Mmmmh! Mh! Lala Lala Lala Mmmmh! Mh! Yani Kwa Sauti Kasema Deeka Deeka Na Mimi Najiachia Kanipa Shuruti La Kumteka Teka Silaha Kanigawia Mbezi Kimara Hunipeleka peleka Mpaka Mwisho Hashuki Hashuki Kiungo Imara Hunipenyeka Penyeka Kwa ya Nguvu Mashuti Mashuti Oooh Oh! Kaniweka Darasani Kunifundisha Vizuri Mengi Hayajulikani Yataka Kuyakariri Kanichorea Ramani Kopa Lenye Nyingi Siri Jekundu Nje Na Ndani Rangi Yake Zingifuri Raha Kupendwa Raha Mmmhh! Kupendwa Raha Raha Jamani Raha Naona Raha Raha (Raha) Kupendwa Raha Ooh! Kupendwa Raha Raha Jamani Raha Eti Niende Msituni Zaraninge Na Matipwili Nikamroge Abadan (Abadaan) Penzi Nichanjie Mizaituni Kwa vilinge Na Kuzikiri Linoge Aah Abadan Aah Abadan Mmmmhh! Vineno Vya Kisirani Kafumwa Na Mwafulani Mweupe Mara Kijani Inawahusu Nini? Vipimo Viso mizani Kutwa Kwenu Midomoni Tumewakaa Kichwani Mtumezee Kwinini Ndege Asili Ya Buga Kufugwa Hawezekani Mithili Ya Kivuruga Kaumbiwa Kutamani Atenda Tafuta Boga Japo Tama Libandani Ende Tezi Sina Woga Atarejea Ngamani Raha Kupendwa Raha Mmmhh! Kupendwa Raha Raha Jamani Raha Naona Raha Raha (Raha) Kupendwa Raha Ooh! Kupendwa Raha Raha Jamani Raha Oooh! Oh! Ooooh! Oh! Oooh! Oh! Ooooh! Oh!
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Zuchu
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

