
Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga Nini tilalila usiku mchana unabwabwaja Kwako mi mpira unanicheza unavyotaka Kila siku beki leo kipa nimekudaka We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 Choko choko ndiyo mambo mliozoea Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah Eti naringa, nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda We mwanadamu gani uliyekosa aibu Kunisema kwa ubaya Na ukiapa kwa Mungu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 Written by: Elias Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono Produced by: Nahreel
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Vanessa Mdee
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

