
Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima Nilishafuta namba zako Nikachoma picha zako Sikujali ulivyoliaa Mbele ya mashoga zako Nikasema uende zako Nguo nikakutupiaaa Na zaidi, uliuguza vidonda Kwa vipigo, manyanyaso kila siku Kwa mawazo ukakonda Niko bize kucheat, nafungua zipu Ulinibembeleza, nikakubeza Unanuka na nikakutelekeza Macho makengeza, miguu ya pwesa Kuwa nawe nikamesa niliteleza Leo unapendeza, wamekutengeneza Wanaume wenye mali, wenye fedha Sasa unajiweza, siweza kujikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex Boyfriend Ex Boyfriend Ex Boyfriend Siitwi tena honey, baby Jina langu limekuwa Ex Boyfriend Ex Boyfriend Ex Boyfriend Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua Ohhh Nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki Sura ya baba na kitambi cha makasi Sasa una mtanashati bitozi tena smati Mtu wa gyme tena ana six park Me nipo juu ya bati, sina mikakati Geto mwendo chai na chapati Nous ushahama mburahati Una nyumba masaki Soirée Unachoma Nyama Kila Siku Ushanipiga mikuli aah Insta mi sifurukuti aah Mambo ya gauni suti aah Mkifanya photoshoot aah Mapenzi hayana komando Mwenzako inaniuma roho Natamani nikwite njoo Turudi kama bifooo Kumbe shepu ilijificha kwenye dera Hizo skini jinsi mama zinakera Utaniletea kadi kwenye machela Siku akikuvalisha shera Na Ulinibembeleza, nikakubeza Unanuka na nikakutelekeza Macho makengeza, miguu ya pwesa Kuwa nawe nikamesa niliteleza Leo unapendeza, wamekutengeneza Wanaume wenye mali, wenye fedha Sasa unajiweza, siweza kujikweza Najutia nafasi kuipoteza Leo aibu yangu Ex petit ami Ex petit ami Ex petit ami Siitwi tena miel, bébé Jina langu limekuwa Ex petit ami Ex petit ami Ex petit ami Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891