
Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi' Yeah Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' (Ah) ka una pigo za kiree, (Ah) Basi' (?) na pia, Mi i keep it ninety nine plus one, 100 Leo nasafisha njia' saa hivi na wana kama 100 Afu kila mchongo wanakamia' uta aminia Naanza na mabishoo wa mjini (Kuja hapa!) Kupendeza na kupiga uno ndo mnachojua ninyi Si mna magari mna hongwa ila mnavyo vimba' sijui huwaga mnaringia nini Ex wangu alinitema nlipo fika chuo tu' baadhi ya masela wakatukacha walipofika chuo tu Sasa nyie Wanachuo' ukiacha hiyo mihogo mnayo shindia kila siku hivi mnaringia nini Ila baadhi ya makonda wabishi Na kuna walinzi wana wazidi ma boss kwa ubishi Una nunua kitu kwa hela yako ila muuzaji anavyo kuvimbia Sijui anaringia nini Mpenzi wako bana tunamjua' hata watu anao ruka nao kama wote tunawajua Ila tunakaa kimya kwasababu hayatuhusu Aya' tueleze unaringia nini Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi' Mi (?) maseke najua Pande zangu msilete kujuana Town usikae kizembe, kamua… Fanya kama hujaniona Mtu akishajua una mpenda (Ohoo…) Umekishwa' walahi yaani ataku pasua hilo bichwa (Mmm) Na kisha atakuzungusha kama Mpiga picha na hakuna kitu utamfanya zaidi sana utaji chatisha (Dah fresh tu) Pita road utakutana na Ma-traffic (Eeeehn) Sijui ndo lile jua tu ndo linafanya mastori hawataki Ma nesi nao umtuhurumie bana maisha bado hamja yapatia Sijui mnaringia nini Nilikuwa najua mastaa wa bongo wana mtonyo' wakiposti mapicha makali, nawanyooshea mikono Sa mastaa wenyewe nlivyowakuta wako hoi' sijui huwaga wanaringia nini Okay' na utakatifu sio wakujionesha na hisi' Nenda kamringie tu ibilisi Sawa hauli kitimoto ila mpenzi wako je' dini haikatazi anaipiga na Balimi na unam-kiss Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi' Vunga' kama Mi (?) maseke najua Pande zangu msilete kujuana Town usikae kizembe, kamua Fanya kama hujaniona Basi' Vunga' kama Mi (?) maseke najua Pande zangu msilete kujuana Town usikae kizembe, kamua… The Mix… Mix Mi (?) maseke… Pande zangu msilete… Town usije kizembe… Fanya kama hujaniona' …Killer
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,445

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,979

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891