
Nimejaliwa moyo wa upendo Nikipenda napendaga vibaya Ila scandal zimefanya sija settle Madem wananihukumu vibaya Nishabadili ata Mienendo Wanadai nimefulia ile mbaya Mana sifanyi kiki tena na scandal Sina hamu nazo kisa wewe mama Wananiita play boy (heart breaker) Baada ya kitendo (na sepa) Yani hawaniamini ata kama nawatania Wananiita play boy (heart breaker) Baada ya kitendo (na sepa) Yani hawaniamini ata kama nawatania Baby mi sio mtu wa mchezo mchezo (Nabayet, Nabayet, Nabayet) Sema niku Oe ata leo (Nabayet, Nabayet, Nabayet) Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet Aseme anahisi joto nimpepee ila anachukulia poa tu Nioshe viombo nimkande ila juhudi zangu bute tu Namtendekeza kama mtoto ata chakula kwa mkono ashiki Kama Mashine nampa tango mana hanaga bwawa la maji Wananiita play boy (heart breaker) Baada ya kitendo (na sepa) Yani hawaniamini ata kama nawatania Wananiita play boy (heart breaker) Baada ya kitendo (na sepa) Yani hawaniamini ata kama nawatania Baby mi sio mtu wa mchezo mchezo (Nabayet, Nabayet, Nabayet) Sema niku Oe ata leo (Nabayet, Nabayet, Nabayet) Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Otile Brown
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

