
Pizzo De! 8town Maselina niko na Shule uko kwetu Masselina niko na pesa nyingi sana Maselina niko na suti nyingi sana Ninaishi kule Dubai Kesho narudi Paris ee Nikisema niko maji Pizzo the fish pweza Cheza na flow Nikisema niko ganji mbuzi na cross buda praise the Goat Praise the don Pizzo kwa dhow Nipate Lamu nimechil kwa boat Ambia shaabik Rada ni harpic unadeal na the ish Zangu ni nappy ju mother hana ganji najidunga na pin So ka ya haunikanji chezaga mbali na ufungage lips Yow Windowz up and a whip it Windows up on a jeep scrr Fela kuti in ma dreams But Les wanyika ndio Ma KiNGS Maselina niko na shule uko kwetu Masselina niko na pesa nyingi sana Maselina niko na suti nyingi sana Ninaishi kule Dubai Kesho narudi Paris ee Kwa hizo Chocha haunipati sipendi hype but daily na psych Niko ocha machapati ndegu kwa side after that ni mic Love yangu ni ya mtaani yako kwa sites unaongoja Malikes Niko njaa na sahani kwa mama oliech nikingojaga rech Drip zangu za zamani bado ni wet so ni maji na fetch Ei King David when I sling Making money in my sleep Bitcoin no receipts Silicon Valley rift Aircon nikidrift Waki Stair panda lift Maselina niko na shule uko kwetu Masselina niko na pesa nyingi sana Maselina niko na suti nyingi sana Ninaishi kule Dubai Kesho narudi Paris ee
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,445

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,979

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891