
Yeh! Niko hapa kuwapa muziki mzuri wako hapa tu kuwa famous Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas' Wanajiita lyricists, kwa hizi interviews -na mimi tu ndio nimetoa lyric video ika hit a million views- how? Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa «retire» Secular lakini unaandika gospel fire Si live a lie, najua n’ta-sound kama niko ma drei but juzi walai Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai TRUE STORY Klepto si mtarudiana lakini Hatujai achana tunaruadiana kwa nini Na machali wa Inshalla mi name na hawa vijana wawili Tutazidi sana kando na kukosana niamini Tusipimane akili mi nina kichaa Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear tukisimama hao na mimi mi ndio mna-prefer AMINIA! Oh nana nana na na na na AMINIA! Oh nana nana na na na na Eh AMINIA! Oh nana nana na na na na Eh AMINIA Oh nana nana na na na na Eh Ah ah ah ah ah YEH AMINIA (X3) Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu Au nkitoka niachange kwa keja tu Najua ikilia ni mtu anataka favour tu Kila converstation ni ka Deja Vu Maisha imejaa na watu fake si uongo Na visu zakunidunga n’kiwageuzia mgongo Washa sense ntakafunga so wananyemelea Siezi afford kumwaga unga najitegemea Sieki imani kwa binadamu mimi Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi Ah, ka s’kupendi s’kufichi No pretending hata simu zenu mi sishiki N’kuwe pissed kwa nini, siko pissed niamini mi niko bied Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia Maybe tu argue beats au beer situezi argue ati iko rapper anatoa hits ka mimi AMINIA AMINIA Oh nana nana na na na na AMINIA Oh nana nana na na na na Eh AMINIA Oh nana nana na na na na Eh AMINIA Oh nana nana na na na na Eh Ah ah ah ah ah YEH AMINIA (X3) Philosophy yangu ni Don’t worry chema chajiuza Sijieki na Don Larry ama Martin Luther Nani huyo CNN wana interview, sio mimi Nkianza hii kitu ni watu wa few waliamini Nabii hakosi heshima is’pokuwa kwa nchi yake Kwa jamaa zake na nyumbani mwake Nabii hakosi heshima is’pokuwa kwa nchi yake Kwa jamaa zake na nyumbani mwake Hii ni ya kila mtu uliza ka anapenda rapper akaniambia ako 50−50 Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki but ameambiwa ati muziki hailipi Ka uko hapa juu ni passion bas' si kazi hata Ka we ni rapper juu ni fashion hatukutaki hapa! Hii ni ya msanii yule anahangaika na guitar anaimba for free Na ataendelea hata ka anajua hata hajalipwa YEAH Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream Siku moja joh niwewe wataita KING Jione umpanda stage na umeshika Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika Aminia S’choki, s’choki, s’choki Style mingi kushinda menu ya kinyozi AMINIA Naeza fly wengine hawatoshi AMINIA Aminia, aminia, aminia AMINIA Ah ah ah ah ah aye AMINIA (x3) Oh, nanana AMINIA
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Nyashinski
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891


