
Oh, ooh, pombe sigara Naweza wacha bila kung’ang’ana Lakini hawa wasichana Vile nawapenda, ni kama laana Ooh, Sol Generation I’m the storyteller, eh, ah, eh Ooh, Lord Nasikia walevi huota na beer Lakini kuna siri nitawaimbia leo See I’m not addicted to alcohol, I’m not a victim, not at all Yalimpata Samson, yakampata Solomon Situation hugeuka tricky, kila shimo napanda miti Contribution kwa team mafisi Karura Ayy, situation hugeuka tricky, kwa hivyo Msiniweke kamba kwa shingo Pombe sigara Naweza wacha bila kung’ang’ana Lakini hawa wasichana Vile nawapenda, ni kama laana, ah Somebody is cool and not fine Tell them that’s how we tell a heart’s gone down Eti alivunja shingo akalemewa, akatoa fimbo nje ya ndoa Na hivo ndivo alijichomea Ayy, situation imekuwa tricky, kuna shimo alipanda miti Na hivi sasa ako Kamiti, kwa jela Ayy, situation hugeuka tricky, kwa hivyo Msiniweke kamba kwa shingo Pombe sigara, ah Naweza wacha bila kung’ang’ana, ah Lakini hawa wasichana Vile nawapenda, ni kama laana, ah Ooh, yeah, yeah Pombe sigara, ah Naweza wacha bila kung’ang’ana, ah Lakini hawa wasichana (maze) Vile nawapenda, ni kama laana, ah Ooh, yeah, yeah
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Nviiri The Storyteller
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
