
Sitaki sitaki sitaki sitaki Japokuwa sina changu kweli kuonewa staki Sitaki sitaki sitaki sitaki Japokuwa nimnyonge mimi kunyanyaswa staki Siutaki usuhuba usokuwa na maana X4 Naukata ukuruba kuwa ni mbaya sana X4 Kwako wewe nimishiba kunifanyia khiyana X4 Chorus: Mimi sitaki sitaki sitaki sitaki Japokuwa sina changu kweli kuonewa staki Sitaki sitaki sitaki sitaki Japokuwa nimnyonge mimi kunyanyaswa staki Umeivudha hisani ukae ukitambuwa X4 Umejitoa thamani ulotenda siyo sawa X4 Umeingia izarani watu wote wamejua X4 Ulikusudia nini kutakaa kunidhiisha X4 Kunitiya mtihani vituko kunionyesha X4 Yakunitoa nyumbani sitosaha umaisha X4 Kweli wewe ni mjinga simtuni hayawani X4 Mambo kama yakushinda sababu kuyathamani X4 Ukanifanyia hinda na kashifa mitaani X4 Mulofanya ni aibu kukuambiya sitoshindwa X4 Kuyapata madhulubu na wewe makuvunda X4 Hukujalia yangu tabu na mazuri nilotenda X4
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Malika
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891


