
Ooii Yooh Tongwe Records Beiby (Bin Laden) Umwambie sikupenda, kuikimbia nchi yangu Kabla kalenda nimeondoka kabla ya mwanangu Na sijui ninapokwenda simjui na mrithi wangu Usije ukambemenda mwanangu oii Kitovu chake ukizike nilipopitisha unyayo Akiwa wa kike ndo furaha niitakayo Ukinizalia dume Inshallah ni hayo Nitampa jina la mtume na nitamuita Matayo Akikuwa mwambie babake alikuwa mwanaharakati Na ukamwonyesha ununio ndio kumbukumbu iliyobaki Awaheshimu nduguze ambao walimwachia ziwa Wamthamini wamtunze abadani asijione mkiwa Na asinichukie mimi maana sikumchukia babu yake Akikuwa atajua kwanini na ataheshimu maamuzi yake Auchunge ulimi aishike dini yamkini ana jini mkongwe Na umsikizishe yangu mapini (Ili mjini asikae kinyonge) Na ukipata usimsahau mama, mkumbuke na bibi Niombee nitusue mnyama, nabeba kago msumbiji Sijui nitapona nitakufa sijui nitarudi Akikuwa mwambie Roma ndo baba we ndo shahidi Uvumilie, utuli, umlilie Haya maisha ni safari Usilie, uvumilie, utuli na umlilie Haya maisha ni safari Nafahamu utazaa kwa uchungu Leba utalia na mengi akidondoka chini ya uvungu Watambeba malaika wengi Mimba huja na kisirani, na kuna unavyotamani Huku nilivokuta sivo nilivodhani ila siwezi rudia njiani Na unafahamu hunnie ile nyumba ya urithi haina vigae So unaweza pima mzani ni rudi ama nikomae Bora nikomae tu tujichange tumjengee mama kibanda Inshallah mpaka uzae nitakuwa nimeshajipanga Na nimetuma picha yangu waonyeshe wanangu wasinisahau Waambie baba atarudi uwape moyo angalau Kuna muda nina hamu ya ngono ila sina hisia ya mapenzi So please ongeza visomo kwa yule Ustadh wa Mbezi Najua unanimiss ila jitunze nami nitakutunzia fimbo Walinde wanangu wao ndo warithi na ndizo za Roma simbo Wananiambia mashabiki Roma rudi uchukue jimbo Huku ukizingua polisi tu unaekewa goti la shingo Basi ni hayo tu maisha ni mapambano ila sio sinza Na usisahau kuwapa tano Dajide, Mada na Siza Na uwaambie huku watu hawachagui kazi Ila majungu na umbea yaani vitu ni vingi mzazi Uvumilie, utulie, umlilie Haya maisha ni safari Usilie, uvumilie, utulie na umlilie Haya maisha ni safari Uvumilie, utulie, umlilie Haya maisha ni safari Tongwe Records Beiby (Bin Laden)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни LADY JAYDEE
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,445

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,979

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
