
Hehe, hahaha, OG Tuma kitu, yeah Yo, kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa) Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!) Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi) Najaribu kusikiza madonda (Niaje?) Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!) Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!) Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma) Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee, tuma kitu Ay, yo, all I do is win kama Khaled ama Usman Kamaru Headbad but siingiangi booth na manyaru Leo ni Rangey, sitaki nuks za Subaru Mi bazenga, swag nawapigianga look ya Gumbaru Ndo nifike hapa, Amen, ni Mungu Hii kitu huwanga ni tamu but again ni uchungu I remember I wanted to work for NTV But maybe pia mimi ningechujwa kama Ken Mijungu But mi ni rapper, nawapeleka na rieng Na kaa mashini, mi huendesha manyien Yesu ni Baba, sitaki mezesha jachieng «Yes Bana» inachuna tukiveveka na Bien Hatujaanza juzi, hii ni lugha ya zamani Jeshi yangu ya bangi huivuta hadharani So waambieni OG amefika Na hii ni rhumba ya Kayole, hii si rhumba ya Japani, let’s go Kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa) Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!) Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi) Najaribu kusikiza madonda (Niaje?) Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!) Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!) Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma) Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee, tuma kitu Ay, yo, nina issues kadhaa, nimefichia paparazzi rada Na usiniite Brayo, afadhali Papa Omollo toka Bondo, hapo shwari kaka After nipate mchune ilibidi nisare fwaka Na sijawahi ogopa kuwa na enemies But after God, the only thing na-fear ni feminists I hope I don’t get cursed for that Don’t be surprised mkiambiwa, «This verse is whack» Either way, niko wera, siwezi choka nichekwe Niko hapa, niko kule, buda, mboka ni mbekse Kakamega Tanasha Shikwekwe Juu kaa form ina keroma, then I’m always interested «Kuna deal inaivana, ikijipa nitaku-show» Pereka hio lugha huko, we nilipe zangu doh Hii ni language ya ma-broker, watakutoka ukisleki So chorea kutoanishana kaa mwenyewe huchekeshi Bomboclaat Kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa) Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!) Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi) Najaribu kusikiza madonda (Niaje?) Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!) Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!) Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma) Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee, tuma kitu Zingri umesema wasanii wanajirombosa na look hakuna kitu (Nuttin!) Ehh? (Kujirombosa nuttin!) Look wanakoroga mbili tatu (Mbili tatu alafu wanashikanisha, zinakwama) Alafu wanapeleka kiatu kwa fundi (Hahahahahaha!) Look ya jana (Si ya leo) Kwa hivo (Mtu asini-mark na look) Nairobi kila mtu celebrity, bora uko fresh na ung’are Utajipata Obinja kaa guest wa mkare Na ukiwa na ex na amekataa ku-move on You probably the next topic on Edgar Obare Mayweather, champ crew, TMT Flex mode, boy known, check TMZ Diss me, mi nuh care, mi got keyboard So just you gon' be up in your DM ka DNG Beat bumba, vile imefungwa, utadhani Pharrell Neptune, boom! Twaff! Kitu safi marel Nyasae achiel, mimi sikutaki, jaber Your rapper boyfriend amebonda, hakuwa Khali Kartel Ndio ukuwe rapper Kenya, lazima u-diss Papa Then ungoje uone ka mbogi itaku-discover Weka bidii, usiketi ukingojea feature Acha kuwa desperado, unajichomea picha Niko mayolo na ghetto, na angolo kwa macho Unaeza ni-follow kwa IG, mi ni Omollo jabato Kijana kutoka Bondo, nime-rest my case But kaa ni chupa imenibamba, most def nai-chase (No) Bado naendelea (lea), bars zinateketea (tea) Kazi naekelea (lea), nani anamezeshea (Yeah!) We ndio naongelea, tracks zenyu nakojolea Kaa ni rap, siachi juu Kenya, mi ndio inategemea (Jones, nigga) (Sina pesa) (Woo!) (Achana na mimi) (Niaje?) (Iyee!) (Kwenda!) (Tuma) (One, two, three) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee, tuma kitu
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Khaligraph Jones
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891




