
Kuja na mbogi gathee Kama una ngori (kama una ngori) Kuja na mbogi gathee Kama una ngori (kama una ngori) Mi sina worry (mi sina worry) Mi sina worry (mi sina worry) Juu mi n’taku-cock-ia feh Ngoma zangu? (ngori) Flow nayo? (ngori) Nguo nazo? (ngori) Ka-dame nako? (ngori) Juu ya ngori (ngori) Ati nini? (ngori) Ngori ngori? (ngori) Ngori ngori? (ngori) Flow nayo? (ngori) Swag nayo? (ngori) Kila kitu? (ngori) Kila kitu? (ngori) Nairobi? (ngori) 254? (ngori) Ei ei (ngori) Juu ya ngori (ngori) Ushajua vile unaeza kuleta ngori Ukileta ngori 'uku ni ngori, jo Una tabia za ki-shawty-shawty Kesi na OG ni horrible Morio, hukumbuki juzi ni nini ilifanyika kwa corridor? Ulijaribu kuzua ngori kumbe nilikuwa nishakutoa pori doo Sorry bro, hatuko kimoja Saa mi niko category soo Niko na akina Sarkodie, ka hauna copy then I just told you so No worries though Testimony imefanya nijue Sir God msoo 90 percent of you rappers bado mnazimwa na shorty ka Noti Flow But note ukidai kigongi combi kuja na packo ya condico Nairobi knows Vile niko na mapepo nahitaji maombi, boss Kila siku man, I’m on me toes Ndio reason mi hufuatwa na horny hoes My life is like a movie (wooh!) Wacha niwapatie chronicles So stay on your lane ka Tory 'cause Usipo utapigwa makofi bros i-nosebleed ibaki imekuwa ni kesi ya korti-ko But pro ni pro Form ni-show, ulidhani itakuwa impossible Instead of ku-type kwa simu we nitafute kama una ngori, pthoo! Kama una ngori (kama una ngori) Kuja na mbogi gathee (rgaah!) Kama una ngori (kama una ngori) Kuja na mbogi gathee (iyeee) Mi sina worry (mi sina worry) Mi sina worry (mi sina worry) Mi sina worry (mi sina worry) Juu mi n’taku-cock-ia feh (brrrrr!) Ngoma zangu? (ngori) Flow nayo? (ngori) Nguo nazo? (ngori) Ka-dame nako? (ngori) Juu ya ngori? (ngori) Ati nini? (ngori) Ngori ngori? (ngori) Ngori ngori? (ngori) Yo, kama una ngori (kama una ngori) Usichoche kwa Twitter na Insta story Name a location nikuje katambe Twitter fingers si tunajua ni boring Kama una ngori (kama una ngori) Tukachachishe mateke na ndondi Ka ni ku-diss mliona ni nini nilifanyia Vera na Eric Omondi Kama una ngori (kama una ngori) Tukikutana usijifanye holy Ju n’takuteka mkia uporwe Na wallenje umeseti kwa koti Kama una ngori (kama una ngori) Hakikisha umetembea na mbogi Ju wale kiawa wananitambua Si wale hu-dance hizo ngoma za 'Odi' Shine on, nimepita na glory Ju huwanga napiganiwa na ma-shawty Nipate Mollis, mimi na Mollis On the purple kama Francis Atwoli Hapa ni teke, hakuna cha slowly Mi sina time kama mbota si Rollie Nikisema niko na kimuthongi (brrrrr!) Ujue si challenge ya Kobi Shinda kwa slang ya tonje mbono Tunawaingiza na hii oriji Si ndio hupita na vibeti kwa mkono Si ndio huongelewa daily kwa TV Si ndio ma-con wa Tao Pata potea na base ni stage ni ya Bangu Supplier wa nyama ya paka mlikuwa mnaekewa kwa sambu So kama una ngori jua ni akina nani una-deal na wao 'Cause none of my niggas’ll keep it a hundred Zetu ni ma-bills za thao So before muulize nani amekafunga Kwanza mjue nani amevunja rekodi Ju hizo pang’ang’a za kuji-compare na mi haziwezi Nyi ni ma-todhi Kama una ngori (kama una ngori) Kuja na mbogi gathee (rgaah!) Kama una ngori (kama una ngori) Kuja na mbogi gathee (iyeee) Kama una ngori (kama una ngori) Mi sina worry (mi sina worry) Mi sina worry (mi sina worry) Juu mi n’taku-cock-ia feh Kama una ngori (kama una ngori) Kuja na mbogi gathee (rgaah!) Kama una ngori (kama una ngori) Kuja na mbogi gathee (iyeee) Mi sina worry (mi sina worry) Mi sina worry (mi sina worry) Mi sina worry (mi sina worry) Juu mi n’taku-cock-ia feh (brrrr!) Ngoma zangu? (ngori) Flow nayo? (ngori) Nguo nazo? (ngori) Ka-dame nako? (ngori) Juu ya ngori? (ngori) Ati nini? (ngori) Ngori ngori? (ngori) Ngori ngori? (ngori) Flow nayo? (ngori) Swag nayo? (ngori) Kila kitu? (ngori) Kila kitu? (ngori) Nairobi? (ngori) 254? (ngori) Ei ei? (ngori) Juu ya ngori? (ngori) Ha!
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Khaligraph Jones
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





