
Uh hebu tazameni Matendo ya Mungu yanavyotisha Amefanya mengi makubwa ya kustaajabisha Marafiki leo wana upendo kesho umekwisha Ila upendo wa Mungu hauwezi kwisha Naamini neno lako linaishi forever Utendawazi hauwezi kubadili Dhambi ikawa haki, Never! Umenifikisha sehemu ambazo Wala sikuwahi kuzifikiria Sifa zako nitazihadithia Unaniepusha na maadui Unanilinda na mabaya Ambayo hata siyatambui Mungu uliye hai Hata mimba zilizotokea Kwenye mazingira ya dhambi Watoto umewapa uhai Na kama pumzi unanipa bure Sasa kivipi tamaa ya pesa initenge na wewe Nashukuru kwa kunileta hii sayari Milele nitakuamini Mungu wa kweli AMINA Amen Baba, Amen Upendo wako, huruma yako Amen Wema wako utukufu wako, Amen Amen Baba, Amen Umenipa maarifa, umenipa uhai, umenipa mali Hata nacho kipaji siwezi sema sijaridhika Umenipa kile ulichonipa, hukunitupa Nami sitakijuta Baba, nasema AMEN Glory to God, utajiri mkubwa ni furaha Mungu anaweza kubariki mpaka ukashangaa Niwapo kwenye njaa nikumbushe kwamba Ndege hawalimi, hawavuni ila hawakosi chochote Nilipotoka usiache nikumbusha Nipe hekima nisitamani magari Nisiyoweza kuyaendesha Niishi kwenye ukweli nidumu Maana uwongo hauishi milele Na unaua faster kuliko sumu Pia asante kwa kunipa bidii Napokuomba haujibu haraka Unajibu wakati sahihi Una hekima inayoshangaza dunia Watu hata tungombane vipi Tunashare mvua na jua Nilijalie nisilewe sifa Nikumbuke siku za uhai wangu zinahesabika Hivyo nikuabudu nikiwa kijana Nawe utaniweka juu kwa baraka leo zaidi ya jana Amen Baba, Amen Upendo wako, huruma yako Amen Wema wako utukufu wako, Amen Amen Baba, Amen Copyrights: Bongo Records Tanzania
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891