
Pindi ukicheka we, Mi moyo unanitabasamu Huwa mwenye kujihisi mororo Ila ukilia wee, Hata kula nakosa hamu Huwa mwenye kujihisi mdororo Ukiwa karibu na mie, Najiona bora Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma Uwepo wako we na mie, Umetia fora We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona Unaniweza weza X4 Sitamani mwingine, Wala sidhani ka ataweza kutokea Maana mambo yako moto moto, Moto Labda upite ushetani mwingine, Maneno ya watu nishazoea i don’t care Kila kukicha choko choko, Choko Unavyonipa raha, Ndiyo nanepa mie Penzi lako natinga, navimba nabembea Kinachokufaaa, Usisite niambie Kwako niko radhi hata zege nibebe, Machinga nidadishee Ukiwa karibu na mie, Najiona bora Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma Uwepo wako we na mie, Umetia fora We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona Unaniweza weza X4 Unaniweza weza, I do it for love For love Unaniweza weza, I do it for love For love Unaniweeeza Abbah
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Jux
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

