Jana Usiku

Jana Usiku

Jana usiku, niliota ndoto
Africa nzima, kuliwaka moto x2
Jua ilinyesha, mvua nayo ikawaka aaa
Manabii walitafsiri, siku hii na sio siri
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu
Kama umemea
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele
Kona to kona, tukiimba
Aaaaaaa, aaaaaaa
Na mi napendwa na halaiki, wananipigia pigia mtaani
Haiyaiye
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaaa x2

Песен-НИКИ

Загрузка...

Похожие песни