
Tanta lala laaa Ooh La la la la laaaa Mmmmh Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina Hanitaki hata Tale Oooh wale shabiki zangu Walionisifu kwa maneno matamu Leo maadui zangu Ni mitusi tu kwa instagram Kimwanaa si dada angu Eti nae hanifahamu Hata Harmonize nikimpigia Ananifokea kama Sallam Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga Ooh nayosema yana maana Sababu hakuna anaejua kesho Anaepanga ni Rabana Ila ameificha ni confidential Ukisali omba sanaa Mumeo nisije kuwa kichekesho Maana rafiki wa jana Aaah Ndio adui mkubwa wa kesho La la la la la laaaaa Au je utanipenda gaa? La la la la laaa Au nawe utanimwagaa? La la la la laaaa Ati utanipenda gaa ooh Ooooh Ooooooooh. Bado naiwaza sana Zile tunzo mashauzi airport Je itapofika tamati Utadiriki hata japo kunipost Pindi show zimekwamaa Na nikipata sijahis ni mikosi Oooh jahazi limezama Mola ninusulu baba Kama namuona mwanangu Roho yangu Tiffa Dangote Anakwenda na mamaangu Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke Usilie Sandra wangu Mboni yangu Jikaze usichoke Huenda kesho zamu yangu Nitavuma tena mambo yanyooke Eeeey Na magazeti ya nyumbani Kwa kukuza habari si unajuagaa Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga Oh yeh yeh yeh Navyo nilivyo mnyonge Tabia ya kuwajibu sinaga Kama naiona michambo ya madem wa zamani Yani He he heeeeee La la la la laaaaaa (eeeh) (Ola lala la laaaalaa) La la la la laaa (Ooh ola la la laaaa) La la la la la alaaaa Eeeh Ola la la lilaa ooh I say. Kama namuona mwanangu Roho yangu Tiffa dangote Ana kwenda na mama angu Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke Usilie sandra wangu Mboni yangu Jikaze usichoke Huenda kesho zamu yangu Nitavuma tena Mambo yanyooke (he he heee) Eiiii Ola lala lilaa Oooh baby Tudd Thomas Oooooh Nayosema yana maana Sababu hakuna anaejua kesho Anaepanga ni Rabana Ila ameificha ni confidential Ukisali omba sana Mumeo nisije kuwa kichekesho Maana rafiki wa jana Ndio adui mkubwa wa kesho WASAFIIII.
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Diamond Platnumz
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891





