
Intro: Fid Q Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah! Aaa… anayevutia… Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah! Uuu… utamfurahia… Chorus: Daz Baba Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama… Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama… Verse 1: Daz Baba Nimekaa chini mtu mzima nikafikiria Warembo wengi sana kwenye hii dunia Mi umbo namba nane kichwani akan’jia, toka moyoni sina budi kumsifia Mwenye sura matata, macho yanayoita Ana utata huyu binti wa ki-afrika, hata mcheki alivyo umbika' ana bebeka kama gita Akitembea' bado ana tingisha, pendeza kimavazi, hata akiweka pozi Mtoto anaweza akakutia «hard» kwenye njozi Sijui niseme akae, au niseme asimame Lile umbo namba nan watu wote mumuone… Chorus: Daz Baba Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasma' nampenda sana Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama… Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama… Verse 2: Fid Q Anauliza kama nina demu, namwambia, sina! Anahisi ashaniona sehemu, tatizo kanisahau jina Unaitwa nani?: Fid Q Unaishi wapi?: Ghetto Kazi yako ni ipi?: Muziki, (Ausio) Mdomo una kuwa mzito, niongee kipi cha maana Ki vipi nimkazie jicho wakati binti kasimama Au nijikombee maujiko, Fid sitaki kujuana (?) Usinizingue ki hivyo, mi simuachi huyu kimwana Anaonyesha' hana maringo lakini ashawahi kupima Asha nzimika kimtindo, mchizi kipingamizi sina Yupo shkopa, yupo shalo, tina tina, yupo full' (Oi!) Kama wasemavyo watu wazima Chorus: Daz Baba Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama… Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama… Verse 3: Daz Baba (?) anapokaa' mimi napajua, najua kumfata wala haitonisumbua Kama ananipenda kweli, nami nampenda pia Ndio maana mpaka sasa bado na muimbia Mi umbo namba nane ananichanganya, embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana-na Ukiwa nae watu watababaika, na macho kuona wakimuona watamfuata Hakika una sifa' zote, popote' alipo utataka we uende, umfuate, umvishe pete… Yeye… Eeh… Chorus: Daz Baba Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama… Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama…
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891