
Tazama Bwana, enzini Mfalme mkuu, na Bwana mkuu Ufalme wake ni wa milele Uweza wake wadumu milele (Watu wote) Atawala, milele Mtukufu, twakuenzi Milele haubadiliki Aliye, na ndiye ajaye Twakutukuza Wewe wa pekee Twa-tukuza jina lako kuu Heshima kwako Watakatifu Twatoa kwako sifa zote Mwana kondoo, Mwana wa Mungu Mfalme mshindi, Bwana mkuu Toa sauti, ya hukumu Wajue Bwana watawala Twakutukuza Wewe wa pekee Twa-tukuza jina lako kuu Heshima kwako Watakatifu Twatoa kwako sifa zote Twakutukuza Wewe wa pekee Twa-tukuza jina lako kuu Heshima kwako Watakatifu Twatoa kwako sifa zote
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Congress MusicFactory
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891



