
Kuna kadem, mi hukapatanga kasawa But sijawahi mwona bila weave, yawa (Next) Huyu mwingine huni-text by the hour Si kwa ubaya, but the boy asha-tire (Next) Pata dem ako flat vi-excess Mko same mkivalia ma-vest (Next) Niko on na singedai hizo, msee To the left, to the left, that’s West (Next) Si vibaya, ma-time kuwa unalewa But kumbuka pia bado hujaolewa (Next) Hatukatai, sura ulipewa But pande ya tabia, ubaya, hewa (Next) Ni nani ule kando ya meza? All-natural, amegusia tu make-up Aki ya nani, si anatesa? Pigia mzazi umwambie nimependa Ugh, lakini analenga Nime-try kum-halla but bado analenga Na vile ameweza Anyway, onto the next one Next Nimesema next (Ah, ah, cheki) Who’s next? Who’s next? Next (May the next patient please…) Next Who’s next? Next Nimesema next Akinicheki, anapiga mahesabu Ni kama ye ni mwalimu wa thafu (Next) Anaringia ugali na managu Na home anakulanga sembe kavu (Next) Alinisho, «I don’t do matatus» Kidogo amalize sole za viatu (Next) Jana nimemtumia fare kaa mara tatu Na bado hata hajafika kwangu (Next) Kwa Instagram ameweza, but in person Vitu huwa different kwa grao (Next) Bila make-up anakaa kaa brother yangu Asipopaka, nitaambia nini watu? (Next) Ni nani ule kando ya meza? All-natural, amegusia tu make-up Aki ya nani, si anatesa? Pigia mzazi umwambie nimependa Ugh, lakini analenga Nime-try kum-halla but bado analenga Na vile ameweza Anyway, onto the next one Next Nimesema next (Ah, ah, cheki) Who’s next? Who’s next? Next (May the next patient please…) Next Who’s next? Next Nimesema next
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Chris Kaiga
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

