
SILALI Kila bar ninahang na machef na meneja Hata na mateja Na maslayqueen wanaokunywa champagne kwa mirija Ey Anywhere i go with the team ni balaa na ni Danger Kwa ujumla tunagawa dose kwa maEmcee Unaweza pata rejareja All white Uncle Guni Tee na macamouflage kama ninachill na wajeda Nikiwaga ke na mwanangu al b huwa njnachill tu kwa Keja Anauliza «how a small nigga like u ila Daresalaam yote unaibeba?» Nawambia «uuh. Hata sio ishu. Huu mtiani nilionaga past paper» Nkisepa. Narudi zangu Daressalaam kutembeza mikwaju na mboko Emcees gotta understand hip hop sio kushine na viwalo vya mkoko Rap ni maendeleo leo pandisha kaghetto balaa na mkoko Na ndo maana, uh silali. Kama popo Hook Na ndio maana ah! Silali x 7 Na ndio maana Dah! Silali x7 Na ndo maana aahh. Nipo machoo Ukitaka jua ninahustle Cheki tee ilivoloa jasho Eti kisa sijavuta ndinga ninanyewa sana na hawa vijana wenye passo Kumbe pisi zao zinakuja kwa magetto. Na wanangu wanashikaga matako Hatuna time mbulula! Huwa hatujalishi sura Tulivoshine ka mwanzo wa video ya icecream ya Noorah Kazi kuwaza mamulla, nacheki machura Najipa makura Ebu piga Uncle Guni Dogo anauliza «umekula?» Mi nalala jicho moja Jicho jingine haifungi ka pharmacy… sinza Na wachawi wamekua wengi. Kanno kanambia wakinsogelea nawachinja Fake niggas cant ball wimme nawaInjure Man nimekua ka Ninja Flow zangu zimekua tamu kama chai yenye ginger cuz Hook
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Brian Simba
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891
