
Yao Yao, Boondocks Gang gang Yoh prrr Kang Kang Wakali wao, yao yao Ndio hao (Odi wa Murang’a) Buda nachorea huyu madam Buda zimeraru ukadance Weekend ndio hiyo imeland Mkoba akilalisha unda plan Shusha izo keg na majug Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie Odi kabisa turorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam (Madox) Simama kwa miguu rusha mikono juu Ni kangoma kamenice anza tu kubanju Eey ushageuka umeshika tu ukuta Cheki tu kwa kichwa umeshuka tu matuta Ona vile nyuma umejaza tu mauta Me kwenye mdomo hani mkono niko luta Kama zimeshika tuwakuna nawachilia Madem wakikam tunawapandilia Starehe yetu bei tumegharamia Cheki masaa, tumeshachelewa Sasa nani atadrive na tumeshalewa Ebu chunga hao madem wanaweza kupora Ju wengi wa huko ndani ni wakora Cheki sasa zetu zimenyc Hiyo glass yangu niongezee zile ice Najua nitableki toka sasa mpaka night Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie Odi kabisa trorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam (Odi wa Murang’a) Odi wa Murang’a amekam turorie Makeg zikiisha muratina turorie Tukimix na kindovu zitugorokie Ah mi nakata biko hadi munikururie Kama thutha iko fiti mi nariada Na ka itabidi nitaseti hadi wada Kimahuru toa kutu hadi nikiwa jaba Nyorea mi hapana tambua lawama aah Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie Odi kabisa trorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Yoh, nabonga tu Arabic, ninabonga tu na ngeli Ya waroro wamekam wamechrome ka bacteria Nataka tu nilewe nibebwe hadi ma area Ka daily ya kusere tu na pongi tu ya Maria Shikisha njugu na veve, tei ni kachok Hapa mi ndio sponsor, mi ndio the host Piga tot, piga chok, na makwela na matoast Kibash kiko light kimeanza tu kuburn yoh Ki u-Miguna miguna, baby come, baby come Za madem zimenice wameanza tu kuturn Za wagenge zimeshika ni kushuka na madam Mi nadai figure 8 ndio niskie tu utam Kata kutu toa nyege, punguza mahanjam Kuku danger kuwamanga tunapenda vitu tam Na kama wewe ni fisi kama line nitakucross yoh Seti ki sssh, kiende chain mos mos Shuka na madam, mjulubeng ka ni gun Ruka hiyo plan kuruwen ndio niburn Amesanif pedi kuna mresh ashawet Kameseti already si unajua we ndo next Kamemada pienga si unajua hii ni case Anadai emoji hakuna haja ya kutaste Anadai Konyagi na chaser za ma Krest Cheza kunguni na sijui ka ni pest Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie Hakuna ithee ya yut man, we turorie Odi kabisa trorie turorie Meda ofisi turorie turorie Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam Alafu zikishika shuka na madam Shuka na madam, shuka na madam
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891