
Nimefika Jina Big Pin Pirates Collabo Huu ndio mwanzo, mambo bado Kuna, kuna, kuna, kuna, kuna Kuna kijana mmoja toka South C (Jo) Kijana mwenye label kama Nike (Jo) Mnafaa kumwona akishika mic (Jo) Mikono juu ya hewa kama kite (Jo) Kama safari hatari na gari (Jo) Kama Tomma, hatari with the honies (Jo) Kama wewe si a sister, kitani (Jo) Kama sijakutaja, samahani (Jo) Wimbo hujaisha, bado kuna wakati (Jo) Kama bado hujajua jina (Jo) Nani mwenye rhyme tamu kama tikka? (Jo) Nani mwenye kupiga mic tisa? (Jo) Nani mwengine isipokuwa Issa? (Jo) Jesus, nikishika (Jo) Mamanzi wanawika (Jo) Kwa mic, hata sita (Jo) Oh yeah, oh yeah (Jo) Kisha niangushe rhymes ki-dirty Ma-emcee, hamna bahati (Jo) E-Sir yu hatari, rhymes kali Juu ya mali, halali, haifai (Jo) Nimeshika, sitaachilia (Jo) Mpaka wakati zenu zitafifia (Jo) Nipeni mangiri, sitaki mamia (Jo) Sitaki shetani, nipeni malkia (Jo) You, mwanamke kama wewe, mbona waringa? (Jo) Mwanamume kama mimi, mbona wamnyima? (Jo) Ama ni sababu rap bila Issa (Jo) Ni kama Kiss bila Muthoni Bwika? (Jo) Weka sahani juu ya meza, Ogopa (Deejays) Cheki vile ma-emcee wanasorora Mimi niweke mic chini? Watangoja Kama nikuroga, Issa mchawi number moja Lakini ngoja Why do you really wanna punch Issa in the (jaw?) I wanna know, I really wanna know, like (Jo) And then I wanna flow, I wanna flow, like (Jo) Gimme my dough, I really want my dough, like (Jo) Niodhes? (Niodhes?) Niaje? (Niaje?) Sasa? (Sasa?) Mambo? (Mambo?) Cheza na Issa, mchezo kando (Jo) Huu ndio mwanzo, mambo bado (Jo) Ah-ah Kisha niangushe rhymes ki-dirty Ma-emcee, hamna bahati (Jo) E-Sir yu hatari, rhymes kali, haifai (Jo) Kevin, William, Junior, Ronny, South C (Jo) Marlin, Maryam, Ishmael, AKA (Jo) Belinda, Sandra, Ngare in St. Mary’s (Jo) Ann, Eva, Judy in Valley Road (Jo) Abdul, Gerald, Mwaura in Makini (Jo) FBI, Homeboys, DJs in Nairobi (Jo) Frère na Zaurr, DJs in Mombasa (Jo) Mike, Bob, George, Chris, Phil in Five Star (Jo) Arama na Tonya in Akiba (Jo) My dolphin Roslyn from Rusinga (Jo) Udha, Thurea, Hyder from the Villas (Jo) Mabeshte wote ambao radar wamenyita (Jo) Nyi mwaona tu bibi popote mwatulia (Jo) Acheni ijulikane Pirates wamefika (Jo) Hata Faez, nakuambia pesa nimepata (Jo) Bila shaka, kesho kagomba katanasa (Jo) Brayo, Jono, Tony na Saidi (Jo) Kenya nzima, album nawaahidi (Jo) Rapper of the year kweli aweza kuwa mimi? (Jo) Decision kama hio nawachia nyinyi (Jo) Capital, Nation, Kiss, kila station (Jo) Clubhouse to JKs, every section (Jo) This one’s for you to help you cause tension (Jo) Every set and (Jo) Every session (Jo) Kama ni pesa, pesa jaribu kupata (Jo) Kama mamanzi, mamanzi nimewanasa (Jo) Town to town, Nairobi to Namanga (Jo) Coast to coast, Kisumu to Mombasa (Yawa) Toh Chrispin dose donjo koro (Yawa) Odonjo gieu werr mi lungwe ni (Yawa) Werr ma mit, mit, mit, kabisa (Yawa) Think I’m joking? Eh, njuru kata Issa (Yawa) Issa ose chuodho, cloud number tisa (Yawa) Koh walk or travel, nyaka to Garissa (Yawa) Ai yawa, let me pumzika Let me pumzika
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891